Wataalamu na ndugu zangu,naomba mtu yeyote mtumiaji/mwenye laptop hiyo au anayeweza kunisaidia kupata number iliyo kwenye original battery ya laptop hiyo ambayo kwa kawaida huanza na CN....
Natanguliza shukurani.
Katabazi.
If your supplir can't find it, below are compatible part numbers.
You may also need to confirm with your supplier and have them send you sample images before closing your order.
Wataalamu na ndugu zangu,naomba mtu yeyote mtumiaji/mwenye laptop hiyo au anayeweza kunisaidia kupata number iliyo kwenye original battery ya laptop hiyo ambayo kwa kawaida huanza na CN....
Natanguliza shukurani.
Katabazi.
Mie nina laptop ya DELL Latitude 110L, sijui kama zinaingiliana battery. Lakini hata hivyo njia rahisi ya kuipata ni kwenye net. Jaribu kwa manufacturer mwenyewe, ukishindwa, google; nina hakika utapata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.