Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,150 Reaction score 1,450 Nov 5, 2023 #1 Habari za asubuhi wandungu natumaini mumeamka salama salmini Leo asubuhi wakati nawasha laptop yangu kwanza baada ya Kutumia kama dk 5 ikaleta mistari na chenga kwenye skrini Badala ya hapo ikazima Kabisa Kila nikiwasha inawaka taa ya betri na kuzima Ukiwasha feni inaanza kurun zeni inazima mpaka muda huu sijajua shida ni nini maana Jana nimetumia vizuri na haijawahi kuleta changamoto kama hii Model ni dell E5430 latitude Msaada sana Hapa Chief Mkwawa Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wandungu natumaini mumeamka salama salmini Leo asubuhi wakati nawasha laptop yangu kwanza baada ya Kutumia kama dk 5 ikaleta mistari na chenga kwenye skrini Badala ya hapo ikazima Kabisa Kila nikiwasha inawaka taa ya betri na kuzima Ukiwasha feni inaanza kurun zeni inazima mpaka muda huu sijajua shida ni nini maana Jana nimetumia vizuri na haijawahi kuleta changamoto kama hii Model ni dell E5430 latitude Msaada sana Hapa Chief Mkwawa Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,150 Reaction score 1,450 Nov 5, 2023 Thread starter #2 Kama inavyoonekana Kwa Picha taa ya betri na airplane ziko on Ila ya betri inawaka na kuzima Display haionyeshi chochote View attachment 2804364 Sent using Jamii Forums mobile app
Kama inavyoonekana Kwa Picha taa ya betri na airplane ziko on Ila ya betri inawaka na kuzima Display haionyeshi chochote View attachment 2804364 Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu T JF-Expert Member Joined Aug 21, 2023 Posts 1,599 Reaction score 4,737 Nov 5, 2023 #3 Weka mbali kabsa inatabia ya kulipuka pia😕
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,150 Reaction score 1,450 Nov 5, 2023 Thread starter #4 Clegy said: Weka mbali kabsa inatabia ya kulipuka pia Click to expand... Sure mzee Sent using Jamii Forums mobile app
Clegy said: Weka mbali kabsa inatabia ya kulipuka pia Click to expand... Sure mzee Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,150 Reaction score 1,450 Nov 5, 2023 Thread starter #5 #chiefmkwawa Sent using Jamii Forums mobile app