Delivery Man
Senior Member
- Jan 3, 2019
- 157
- 108
Asante sana Ndugu.karibu sana jamiiforums mkuu..
Ahahaha,Asante ndugu nafurahi umenirahisishia kazi yangu iwapo nitahitaji mnajimu.Mkuu umeanza mwaka na id mpya,,, vp ile yazamani bhado utaendelea kuitumia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila usisahau mkuu kupata Wasaa wa kumshukuru Muumba wetu kwa hii Pumzi ya bure Aisee,Kuna viumbe wake wema kabisa inaweza kuwa kuliko mimi na wewe wanainunua kwa gharama kubwa sana mahospitali.Mkuu umeanza mwaka na id mpya,,, vp ile yazamani bhado utaendelea kuitumia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejiunga tu umetuchosha hivyo, ukiishazoea itakuwaje!Hello!
Salaam kwa wadau wote wa Jamiiforums,Napenda nichukue fursa hii adhimu kama mwanachama mpya wa Jamiiforums kuwatakia Heri na fanaka katika Mwaka huu wa 2019.
Hakika Naamini ni kwa neema tu wala sio kwa ujanja wetu,elimu zetu,mali zetu,ubabe wetu,umaarufu wetu katika jamii uliyotuwezesha kuendelea kuvuta hii pumzi bure(pasipo gharama yoyote),Hivyo kila mmoja wetu kwa nafasi yake yatupasa Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema hii.
Nisiwachoshe sana kwa maandiko marefu Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kutuneemesha kwa Neema hii ya Uhai na afya tele,tuendelee kukutana hapa jukwaani katika kufahamiana,kuelemishana,kusaidiana,kufarijiana,na mwisho wa siku tuweze kutimiza malengo yote tuliyojiwekea ambayo yana heri kwetu na jamii kwa ujumla ndani ya mwaka huu 2019.
Asaanteeni sana,ndimi mdau wenu mpya katika Jamiiforums
Delivery Man.
Ahaahaha....Nisamehee mimi mkuu na polee sana kwa kukuchoshaa...ila natumai umeshatoa shukraaan kwa mtoa pumzi hii ya bure iliyokupa kiburi asubuh hii.
Haya majibu ya "mgeni" yameniacha nasema "Hiiiiiiii"Mkuu umeanza mwaka na id mpya,,, vp ile yazamani bhado utaendelea kuitumia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha,Asante ndugu nafurahi umenirahisishia kazi yangu iwapo nitahitaji mnajimu.
Eti "mgeni" [emoji6]Ila usisahau mkuu kupata Wasaa wa kumshukuru Muumba wetu kwa hii Pumzi ya bure Aisee,Kuna viumbe wake wema kabisa inaweza kuwa kuliko mimi na wewe wanainunua kwa gharama kubwa sana mahospitali.
..... na hewa ya bure, nimekusameheAhaahaha....Nisamehee mimi mkuu na polee sana kwa kukuchoshaa...ila natumai umeshatoa shukraaan kwa mtoa pumzi hii ya bure iliyokupa kiburi asubuh hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sio mgeni wa Jamiiforums...ila ni mgeni kama member mpya kwenye server ya Jamiiforums.Hili ndilo swali
Haya majibu ya "mgeni" yameniacha nasema "Hiiiiiiii"
Eti "mgeni" [emoji6]
Asante,nimeshakaribia mkuu.Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.