Habari za humu Watanzania Wenzangu? Yamkini wote wazima.
Deki Aina ya Zec inauzwa ipo vizuri haijawahi kuharibika ina miaka miwili sasa toka 2018 August mpaka 2020 leo pia ina remote control yake, Bei ni 36,000 location nipo Musoma Town, nicheki kwa Mawasiliano au WhatsApp messenger no 0674615883 nyote mnakaribishwa kwa Biashara ya chapachap.
Dah? Wakuu yani humu ndo napategemea tena lakini ndo shida shida, jamani wakuu nina shida na hela mpaka nilie mbona mnanitenga, nimeamua kuuza Mali yangu cha kwangu ndo kitaniokoa, huku nilipo wateja nimekosa, mnataka niwaombe hela ππππ

Mkuu kama ni mkopo jaribu kutafuta kwa watu wa karibu unaoishi nao. Kutegemea mtu wa jf akukopeshe wakati hata hamjuani ni sawa na kusubiri meli airport.