Degrii za ch*p* vita kati ya malekcha na madenti

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
denti.jpg
 
maoja kati ya mambo yanayorudisha elimu yetu nyuma ni hayo, katuni hiyo imeeleza ukweli kabisa wa mambo katika vyuo vikuu vyetu.
 
malangapi tena
bola kusoma nje bana,mwalimu wapiganae stori bila shaka,lakini bongo ukipiga stori tu na mwalimu jiandae kukamatwa,nje mwalimu wanywa nae na wala nae,bongo ukionekana nje watembea miaani ni kosa lazima wale kichwa
 
Kitu kama miaka ya karibuni hii kitu inazidi kuwa tamu sijui kwani si vijana si wazee wanakimbizana nayo kinomaa
 
UDSM ndo usiseme tangu miaka ya 90 huko ndo ilikuwa balaa kule Faculy of Art and Social Sciences mmmmmm...mimi si semi maana nikiwaangalia hao MaDr na Maprof kwenye Tvs wanaongea lakini wanayofanya vyuoni kwao wale hautapenda kuwasiliza tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom