Degree ya Uhasibu na Diploma ya Business Administration


M

mwana mpendwa

Senior Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
173
Points
170
M

mwana mpendwa

Senior Member
Joined Oct 6, 2012
173 170
Wakuu heshima yenu na poleni na majukumu. Mimi ni msichana mwenye degree na diploma tajwa hapo juu, ninaishi Dar es Salaam, natafuta kazi. Naombeni naombeni ushauri na msaada wenu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
 
M

mdunya

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
760
Points
0
Age
39
M

mdunya

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
760 0
Ukurasa huu kila siku kuna kazi za fani yako. Mtafuta totolucky
 

Forum statistics

Threads 1,296,008
Members 498,495
Posts 31,230,509
Top