Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,854
Umefurahisha sana Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...umempa msisitizo kabisa...hahaMbona unanicheka mzee baba?
Umefurahisha sana Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...umempa msisitizo kabisa...hahaMbona unanicheka mzee baba?
Shuklani mkuuHongera kwa huo ufaulu mzuri sana.
Kama umekosa Degree ya Afya, Kasome hiyo Diploma ya Pharmacy...ukimaliza utaajiriwa ama utajiendeleza na Bachelor ya Pharmacy.