Gogle JF-Expert Member Feb 26, 2013 1,495 867 Aug 21, 2020 #1 Habari wakuu, Matokeo ya Kidato cha Sita yametoka, naomba kufahamu kozi za Degree kwa waliosoma combi ya Geography, Kiswahili na English
Habari wakuu, Matokeo ya Kidato cha Sita yametoka, naomba kufahamu kozi za Degree kwa waliosoma combi ya Geography, Kiswahili na English
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Feb 17, 2017 1,886 2,214 Aug 21, 2020 #2 Ivi siku hizi kuna combination ya arts bila history? Kweli elimi ya sasa ni zaidi ya mwendokasi
Tayana-wog JF-Expert Member Feb 26, 2012 23,144 26,645 Aug 21, 2020 #3 Mmh,kuna hizi combination kweli? HGL,HGK,HKL,HGE,CBG....hizi hapa sijawahi kuzisikia mkuu! JESUS IS LORD
Mmh,kuna hizi combination kweli? HGL,HGK,HKL,HGE,CBG....hizi hapa sijawahi kuzisikia mkuu! JESUS IS LORD
Tayana-wog JF-Expert Member Feb 26, 2012 23,144 26,645 Aug 21, 2020 #4 Doubleg Mwamasangula said: Ivi siku hizi kuna combination ya arts bila history? Kweli elimi ya sasa ni zaidi ya mwendokasi Click to expand... Na mi nimeshangaa,labda sikuhizi mambo yamebadirika JESUS IS LORD
Doubleg Mwamasangula said: Ivi siku hizi kuna combination ya arts bila history? Kweli elimi ya sasa ni zaidi ya mwendokasi Click to expand... Na mi nimeshangaa,labda sikuhizi mambo yamebadirika JESUS IS LORD
themanhimself176 JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,800 2,817 Aug 21, 2020 #5 Weee kijana unamaanisha HKL au HGL au HGK Embu tulia kisha uwandike vizuri
T14 Armata JF-Expert Member Mar 7, 2017 10,650 34,926 Aug 21, 2020 #6 GEK/GKL ndo combination gani hii. Muulize mdogo wako akueleze vizuri usiwe na haraka.