Wamweru
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 635
- 485
- Thread starter
- #21
Ndugu utaelewa tu faida moja wapo ni hiyo ya kurudisha walipakodi wa Tanzania salama,tusingekuwa na ndege zetu ?????????Limeokoa watu kwani ni ndege ya kijeshi? Bila hata hiyo ndege bado watu wangerudi tu nyumbani. Ww tuambie hizo ndege zimeleta faida gani hadi sasa, sio porojo za kuokoa watu.