Define kuolewa

Chezea mutoto ya fisadi, mutoto ya New york

 
Hahahahah we ni kiazi sana now i just understand why snowhite said that
 
Last edited by a moderator:
UNA NYUMBA ILA HUNA HATI ZA NYUMBA hahahahhaaaaa .Huna akili yakujenga nyumba wewe hata kununua kiwanja wewe labda umerukishwa ukuta ukapewa ila kwa hilo tope huko kichwani hamna kitu.siku huyo dr hayupo utarudo bongo na meli wewe.wacha dharau zako kwa kaka zetu we ishi maisha yako uliyobarikiwa kuishi .wacha wakupangizha wapange usipotoshe watu eti usiolewe na mtu hana nyumba.hkama wanazinya pesa sawa lakini kama wanatafuta wacha waende taratibu
 
Kaka huu ndio ukweli.wanawake wote tunapenda pesa that the bottom line ukiona mwanamke wako hapendi pesa huyo anapata kwingine

Umezunguka dunia nzima na kufanya utafiti ukaona hivi au unafikiri kila mwanamke katoka kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…