Defference between photo, image & picture

Kwetu Ngoreme

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
489
Reaction score
189
Baadhi yetu huwa tunatumia haya maneno bila kufahamu tofauti yake au wakati upi neno litumike. Kwa anayejua naomba atupe tofauti ya hayo maneno.
 
Let me try;

IMAGE kwa kiswahili tunaita taswira (siwezi ielezea zaidi)

PHOTO ni taswira zinazopatikana kupitia kamera (captured by a camera)-kitu kinakuwa halisi

PICTURE taswira zinazoinvolve drawings, painting (maranyingi inakuwa sio kitu halisi)
 
Baadhi yetu huwa tunatumia haya maneno bila kufahamu tofauti yake au wakati upi neno litumike. Kwa anayejua naomba atupe tofauti ya hayo maneno.

Ngojea nikatafute kitabu changu cha physics cha form two kwanza, then nitarudi kukupa majibu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…