Deffender na Land cruiser ni lipi lenye speed kubwa?

mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
139
89
Deffender zinazotumiwa na polisi vs land cruiser zinazotumiwa na polisi.Nataka kujua ni gari gani lina speed kubwa kuliko lingine.

Mimi si mtaalam wa magari basi nafikiri pengine land cruiser lina speed zaidi na linamudu zaidi barabara za vumbi na ndio maana kwa sasa linatumika polisi.
 
Sasa unataka kujua nini katika hilo? Maana ushajua tofauti kua kuna land cruiser na defender.

Au wataka jua fuel consumption na mengineyo?
Deffender zinazotumiwa na polisi vs land cruiser zinazotumiwa na polisi
 
Nataka kujua ni gari gani lina speed kubwa kuliko lingine. Mimi si mtaalam wa magari basi nafikiri pengine land cruiser lina speed zaidi na linamudu zaidi barabara za vumbi na ndio maana kwa sasa linatumika polisi
 
Deffender zinazotumiwa na polisi vs land cruiser zinazotumiwa na polisi.Nataka kujua ni gari gani lina speed kubwa kuliko lingine.

Mimi si mtaalam wa magari basi nafikiri pengine land cruiser lina speed zaidi na linamudu zaidi barabara za vumbi na ndio maana kwa sasa linatumika polisi.
1466534100097.jpg
1466534106779.jpg
1466534112756.jpg
1466534117611.jpg
 
Deffender zinazotumiwa na polisi vs land cruiser zinazotumiwa na polisi.Nataka kujua ni gari gani lina speed kubwa kuliko lingine.

Mimi si mtaalam wa magari basi nafikiri pengine land cruiser lina speed zaidi na linamudu zaidi barabara za vumbi na ndio maana kwa sasa linatumika polisi.
Defender vs landcruiser inategemea sasa

Kama ni defender zile puma, basi zitaizidi landcruiser mkonga 1HZ.

Lakini kama defender puma vs landcruiser za ma-RPC zile GX V8 basi hapo defender irudi darasani ikasome........
 
Kwa spidi Land cruiser wako juu. Lakini kwa kupita barabara mbaya sana Defender yuko juu. Hii nimeshuhudia mwenyewe! Binafsi napendelea Land cruiser kwa kuwa natembelea barabara nzuri.
 
Deffender zinazotumiwa na polisi vs land cruiser zinazotumiwa na polisi.Nataka kujua ni gari gani lina speed kubwa kuliko lingine.

Mimi si mtaalam wa magari basi nafikiri pengine land cruiser lina speed zaidi na linamudu zaidi barabara za vumbi na ndio maana kwa sasa linatumika polisi.

Kwanza Deffender ndio lina roho mbaya kwenye vumbi na rough roads,pili hizo landcruiser mkonge zinasubiri sana kwa Deffender na mwisho Jeahi la Polisi limeamua kuhamia kwenye landcruiser sababu uzalishaji wa Deffender mpya umefikia kikomo huko kiwandani U.K.
 
Defender vs landcruiser inategemea sasa

Kama ni defender zile puma, basi zitaizidi landcruiser mkonga 1HZ.

Lakini kama defender puma vs landcruiser za ma-RPC zile GX V8 basi hapo defender irudi darasani ikasome........

asante hata mm nimejua sasa, umejibu kiungwana sana
 
Back
Top Bottom