Deference between been single and married

Uzuri ni kuwa married man anaweza pia kufanya role ya single man.
 
Mbona huyu family man ana hasira hivyo???
 
Inaelekea mto mada kasahau kuwa kuna Married But Available BMA? so hii inaweza isiwe applicable to some men
 
Oyaaaa, hii mada inafaa sana at 20-30 yrs!! Ukiwa na umri wangu nahaha kutafta kabinti kanipikie, unajua kula migahawani nayo inachosha!!!""""""
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…