Deep

Hmm labda women empowerment wawe levo sawa na wanaume,jitigada kubwa zinafanyika kuwainua,
Tho binafsie naonaga jitihada zikizid sana mtu anakua weak
 
Ni kama mchoraji anajaribu kuelezea mafanikio ya mwanamke na mwanaume kwenye hatua za upambanaji...naona mwanaume yeye katumia lift yuko juu..wakati mwanamke kapambana sana kwa machozi na damu..na msaada pia wa wenzake..
 
mwanaume anaweza jiinua bila msaada mkubwa, lakini mwanamke lazima ainuliwe na ndo awe juu
 
Hivi wanawake wanasahidiana kupandishana juu?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…