Sio watu cheap hivoo... ni watunza misingi ya taifa, ndo maana unalala usingizi na kufanya shughuli zako bila shida ujue wao wameamua iwe hivo, wakiamua pasikalike hata humu hutaingia, wape heshima yao wakiongozwa na kijana mzee mr born town mtu na nusu, mtu tajiri, mbabe wa washamba kutoka bush..... salute kwako mzee