Dedication; Baby..... I Love You...

Dedication; Baby..... I Love You...

Ukiona post yake ujue kapenda,,,, akiudhiwa au kuachwa,,, huoni,,, wala husikii,,, what a woman,,,,

Hahahahhahaa that's Kasie for real.

Ever Smiling Kasie.
 
Hahahaa. Safi sana aisee. Hiyo ndio raha ya kupenda yaani unapojisikia tu unampa sifa yule umpendaye. Haina kujibana bana.

Nimeipenda hiyo dada ake. Jiachie mwaya.

Asante mwaya mahaba na Kasie, kasie na mahaba inabamba hehehehee.

Ever Smiling Kasie.
 
Mahalat,

This is special for you....



Mmuah mmmuuaahhh! !

Tabasamu lako kwa DP ndo stafutahi yangu, mlo wa mchana na usiku kisha nakunywa maji nalala, tosha kabisa. Wewe ni kila kitu kwangu Jabuu.

I will always love you to death.

Ever Loving You, Kasie.

Thank you baby same 2 U
 
Back
Top Bottom