Dedication; Baby..... I Love You...

Dedication; Baby..... I Love You...

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Mahalat,

This is special for you....

Mmuah mmmuuaahhh! !

Tabasamu lako kwa DP ndo stafutahi yangu, mlo wa mchana na usiku kisha nakunywa maji nalala, tosha kabisa. Wewe ni kila kitu kwangu Jabuu.

I will always love you to death.

Ever Loving You, Kasie.
 
Hii video km nngejua ni hii nisingeiview kabsaa. Itabd unitumie mb zng utani stakii
 
Hahahaa. Safi sana aisee. Hiyo ndio raha ya kupenda yaani unapojisikia tu unampa sifa yule umpendaye. Haina kujibana bana.

Nimeipenda hiyo dada ake. Jiachie mwaya.
 
Hahahaa. Safi sana aisee. Hiyo ndio raha ya kupenda yaani unapojisikia tu unampa sifa yule umpendaye. Haina kujibana bana.

Nimeipenda hiyo dada ake. Jiachie mwaya.
Nawewe nipende basi na Mimi ili tuanze kujiachia.
 
Hii video km nngejua ni hii nisingeiview kabsaa. Itabd unitumie mb zng utani stakii

Pole sanaaa hehehehehehehehe, muombe Max akufanyie wepesiiiii.

Ever Smiling Kasie.
 
Back
Top Bottom