Mzee hii dedication yako imenikatisha tamaa sana, Ina maana hamna hata jambo jema moja tunalofaidi wenye ndoa? Loh!
Stay Tune! More Dedication Regarding Married are Coming!
Mkuu umeona eehhh kila kitu ni negative tuu hakuna jema hata moja tunalofaidi
Did you mean dedication or curse
ushindwe na ulegee!wenzako tunafurahia ndoa zetu tunatamani tungeoa tangia tuko darasa la pili au tuishi hata miaka 200 we unaleta maneno mbovumbovu
kaka nimeipenda hiiMkuu hapo akili kichwani mwako
Ila hii nimeamini sio dedication ni kama laana kwetu tuzione ndoa zote ni balaa