Dedicated to all girls

Dedicated to all girls

Sawa basii.....Na mm narusha wimbo huu..

 
Last edited by a moderator:
Kama kweli umeamua sioni hata kwanini upoteze muda wako kumuambia wewe sio mamlaka ya hali ya hewa. Anajua kua wewe sio mamlaka ya hali ya hewa toka anapokuambia its raining.

Kaa kimya, huna sababu ya kujibu chochote. Kuna watu wako smart, unamjibu wewe sio mamlaka ya hali ya hewa anakuja na lingine, unaendelea kujibu, mwisho umeingia kwenye 18 zake.

Kama umeamua futa mawasiliano na huyu mtu huna sababu ya kujibu msg yake hata moja, labda akueleze habari ya msiba ya mtu ambae na wewe ulikua unamfahamu.

Mwanzo wa kujibu msg moja ndio muendelezo wa nyingine, hata akituma msg zaidi ya 10 wewe kimya maana umeshaamua, ita click kua "kimenuka" labda awe zezeta.
 
Kidogo sasa???!!!!! Yan ukweli mtupu hadi moya umejump up

Ha haha haha, somo limetufikia walengwa. Acha nikaze buti no more tears wadada, tumeshafanywa pa kutulia uchovu wao

:smile-big:
 
absolutely wadada cjui tumeumbwaje tuna huruma mnoo ...
 
NOBODY wants u
NOBODY loves u
NOBODY misses u
NOBODY needs u
NOBODY cares abt u
NOBODY makes u happy

Don cry my Name z NOBODY
 
hii dedikeshen ina maana wakaka hawaumizwi au wenzetu hawa wana mioyo ya chuma? Ila ushauri ni mzuri.
 
We mtoa mada ulikuwa wapi siku zote?? daaah
 
Kama alijua wadada wengne tulivyo mother theresa kuna watu hata ulie bahari bado ni selfish tuu,take care galz
 
Mkuu umesema kweli tupu hi ni hali ninayoipitia kwa sasa na niko njiapanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom