Dedicated to all girls

Dedicated to all girls

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
312
Reaction score
533
Ukiona uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani uende waza upya,ukiona kila siku ni wewe tu unayeumia na kuumizwa na anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi ukimwambia unataka kumuacha, tafakari sana na ikifikia kipindi umeona its enough na unataka kumove on, usiruhusu kitu chochote kukurudisha nyuma.

UsiruhusuFeeling zako mwenyewe kukulet down, usiruhusu marafiki wasumbue decision yako, wala usimruhusu mpenzi wako wa zamani kukuhadaa kwa maneno matamu ili urudi.Funga Viooweka tinted kali. Leo mvua imenyesha utaona mpenzi wa zamani anatuma meseji ''vipi na huko mvua imenyesha, nasikia baridi kweli.

We mwambie mimi sio mamlaka ya hali ya hewa,kama unasikia baridi Washa Heater.Hizi ni meseji tu za uchokozi ili apate attention yako, na ukimruhusu atauliza mambo kadha wa kadha,mara hujanimiss na hii baridi,mara I wish you were here atakutoa kwenye concentration yako as u progress to heal your wounds. Usikubali kuwa mtumwa wa uhusiano ambao wewe unapata 20% na yeye 80% halafu unasema 'Iam in a relatinship'.
 
Niko kwenye 80% and above, no P
 
Umeongea kweli wanawake wengi hujifanya wanahuruma .... love is give and receive .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom