Kama sikukosea huyu DED mteule wa Kilolo DC Aloyce Kwezi, siyo yule aliyekuwa Afisa Utumishi wa Halamshauri ya Nzega na sasa Halmashauri ya Bunda na kesi ya TAKUKURU kule Nzega.
Kumbe hata wenye kesi za TAKUKURU nao wanapata uteuzi. Kama siyo yeye basi naomba samahani.
DHRO wa Bunda Aloyce Kwezi kortini kwa tuhuma za rushwa