mkuu kwa hiyo DED ana chama?Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
kwahiyo Polisi,jeshi nao waseme CCM oyee kwa sababu na wao wanatekeleza sera za CCM,Hata hivyo kumbuka DED ni msimamizi wa uchaguzi.
Hakuna chuo cha u-DED, Hivyo lazima DED, apiganie maslahi ya mwajiri wake, kwani ikitokea mabadiliko yoyote ya kisiasa, teuzi zote zaweza kuwa mashakani. hivyo anapalilia unga wake!!!!
pamoja sana mkuu.Ni kweli hakuna chuo cha U-DED lakini kila halmashauri lazima iwe na msimamizi ambae anawasimamia watumishi hivyo ni lazima awe mtumishi wa serikali na tena mkuu wa idara, tunaposema anateuliwa maana yake kuna mchakato unafanyika kumpata mtu ambae anafaa na waziri mwenye dhamana anatangaza kumteua rasmi lakini lazima awe na qualification na ndio maana ili uwe DED lazima uwe mkuu wa idara katika moja ya halmashauri.
DED ni mtumishi wa serikali hata kije chama kingine mkuu ataendelea na utumishi wake serikalini kitakachotokea tu ni kubadilisha majukumu yake ya kikazi kama utaingia utawala mwingine na ikaonekana kuna haja ya kufanya hivyo. Kwahiyo hata kama ni nafasi ya kuteuliwa bado ni mtu ambae sifa mojawapo lazima awe mtumishi wa halmashauri mojawapo na ma-DED wengi walikuwa ni wakuu wa idara mojawapo katika halmashauri tofauti na nafasi kama ya ukuu wa wilaya akiingia kiongozi mwingine na wewe unakwenda na maji
We ndo mbumbumbu kiongozi.Ni kosa DED kusalimia salamu za chama maana hawakilishi maslahi ya chama kwenye halmashauri.Akionyesha mapenzi yake kwa chama fulani anaonyesha kutojiamini na pengine amepata nafasi hiyo kama hisani kutokana na maslahi ya chama chake.Ni sahihi, kwani DED anatekeleza sera za chama gani? acha umbumbumbu wewe!
ni sahihi, kwani ded anatekeleza sera za chama gani? Acha umbumbumbu wewe!