Eti Unaweza kuwa Tanzania na kutumia sky decoder? au unaweza kununua sky card kwa digital money na upate sky ID utumie kufanya sky subscription ukiwa unatumia sky app for mobile
Mkuu heb saidia hii kitu. Inasemekana Nchi jirani na Tanzania wanatazama Azam TV na Local channel za Tanzania while sisi TZ hatuwezi.kutumia decoder ya sky digital na wewe upo Tanzania haiwezekani kwa sababu beam yao haifiki kwetu..
ila kwa kutumia application yao kwa njia ya simu au box tv kama vile sky go unaweza kupata channel yoyote toka uk ila lazima utumie vpn....
na ukitaka kujaribu nione pm
Hii ni issue ya card wala sio issue ya setilite...... kwa card zote zilizo sajiriwa tanzania zinanyimwa access ya local channel za tz, kama unataka kuona local channel basi chukua smartcard ya azam tv iliyo sajiriwa nchi, tatizo itakuja pale unapotaka kulipia kifurushi.... labda ununue kifurushi cha nwaka mzima alafu ndio uje nacho huku bongo.Mkuu heb saidia hii kitu. Inasemekana Nchi jirani na Tanzania wanatazama Azam TV na Local channel za Tanzania while sisi TZ hatuwezi.
Nauliza je ni Issue ya Satelite?? Au Decoder zao ndio zimesetiwa kwa nchi yao.
Naukiza hivi ili nijue tunaweza access vp hizi channel t
Nimekuelewa mkuuHii ni issue ya Card
Hii ni issue ya card wala sio issue ya setilite...... kwa card zote zilizo sajiriwa tanzania zinanyimwa access ya local channel za tz, kama unataka kuona local channel basi chukua smartcard ya azam tv iliyo sajiriwa nchi, tatizo itakuja pale unapotaka kulipia kifurushi.... labda ununue kifurushi cha nwaka mzima alafu ndio uje nacho huku bongo.
.nawasilisha.
Fungeni dish la futi 6 C band muangalie local channel..
satellite hii:
Intelsat 906 at 64.2°E - LyngSat
kutumia decoder ya sky digital na wewe upo Tanzania haiwezekani kwa sababu beam yao haifiki kwetu..
ila kwa kutumia application yao kwa njia ya simu au box tv kama vile sky go unaweza kupata channel yoyote toka uk ila lazima utumie vpn....
na ukitaka kujaribu nione pm
Je ukiwa nayo hiyo TV box unaweza kuona channel zile muhimu mfano EPL au champion league au unapata free channel tu?BOX TV ni zile android box kama vile decoder kwa njia ya internet zinatumika la hii kwa Tanzania utaumia ktk data tu.... VPN ndio inabadilisha location yako ili ziwake application za nnchi fulani
Je ukiwa nayo hiyo TV box unaweza kuona channel zile muhimu mfano EPL au champion league au unapata free channel tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Box ipi iko vizuri hasa Kwa huku Kwetu kwenye internet zenye kuganda ganda.hichi box kinatumia internet data na sie huku tz wengine hatuwezi gharama zake......hii box unapata kila kitu champion hadi challenger
Chukua GTmedia Gts,Android TV box stb hii ni balaa inakoboa Kila kitu inasaga hadi mawe.Box ipi iko vizuri hasa Kwa huku Kwetu kwenye internet zenye kuganda ganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa Tanzania zinapatikana na ni bei gani? Au mpaka uagize Ali expressChukua GTmedia Gts,Android TV box stb hii ni balaa inakoboa Kila kitu inasaga hadi mawe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo kuna maduka zinapatikana Bei miambili na pointi unapata.Kwa hapa Tanzania zinapatikana na ni bei gani? Au mpaka uagize Ali express
Sent using Jamii Forums mobile app
Box ipi iko vizuri hasa Kwa huku Kwetu kwenye internet zenye kuganda ganda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu ni hiki mkuu, premium chanells ambazo server zake sio kila mtu anatumia kama mobdro.tizama specification za box kama Ram iwe 3GB au 4 na ROM32/64
inatakua bora kwako kuna zingine zinakuja na 1 year subscription premium chanel zaid ya 2000
Cha muhimu ni hiki mkuu, premium chanells ambazo server zake sio kila mtu anatumia kama mobdro.