Fungua na safisha kwa benzene au petrol kwa brash au mswaki kila kona ya PCB yake na components zingine hakikisha zinafikiwa! Kisha kiache kama siku nzima, Funga na kiwashe na endelea kula maisha..