nafkiria kununua decoder ya tv bt najiuliza nivhukue zipi maana hawa wanaotumia antenna (star times digtec....)wapo baadh ya maeneo na wana picha nying za ndan. pia signal zao sio nzur saaana
hawa wanaotumia dish(zuku azam dstv)signal ziko poa lakn hawana picha nying za ndan.
.
hapa kama unajua mwenye picha nying za ndan nijulishe plz
Which one is the best kati ya azam na zuku?
Ina picha ngapi za ndan kk
Picha za ndani anamaanisha channel za ndani. Mimi bado credit ya kwanza nawapa DSTV baada ya hapo Azam, zuku, kisha digitek, continental, Ting na mwisho startimes.
Kama una hela mkuu endelea na DSTV
Bado hakuna channel inayofikia ubora wa ITV Kwa local channel na bahati mbaya dstv hawana ITV . km sio mpenda habari zenye ubora na zisizoegemea upande wowote dstv inatosha
nafikiria kununua decoder ya TV but najiuliza nichukue zipi maana hawa wanaotumia antenna (star times digtec....)wapo baadh ya maeneo na wana picha nying za ndan. pia signal zao sio nzuri saaana.
hawa wanaotumia dish(zuku azam dstv)signal ziko poa lakn hawana picha nying za ndani.
hapa kama unajua mwenye picha nying za ndan nijulishe plz
Startimes wana dish pia. Na wana channel mpya ya Swahili, yenye filamu (picha) za ndani.
Ova.
Performance ni nzuri kwani mwisho wa wiki nataka nijichukulie dish!
TV1 imefanya nifikie uamuzi huo ila sijawahi kutumia dish la hawa jamaa!
Performance ni nzuri kwani mwisho wa wiki nataka nijichukulie dish!
TV1 imefanya nifikie uamuzi huo ila sijawahi kutumia dish la hawa jamaa!
Dish huwa halibahatishi kaka. Tena kwenye startimes ya dish kuna channel nyingi zaidi ya kwenye antenna.
Ova.
hiyo Tv1 ina nini kizuri?