Mkuu hiyo software nitaipata wapi? Mm nilijua kua itakua automatic update kwa kutumia gps sim card dogleSio kama dstv wamestukia ila wanajua kama vinatumika kuvifunga haiwezekani kutokana na jinsi vilivyotengenezwa, ila unachopaswa ni kuupdate software yake tu
Sio kama dstv wamestukia ila wanajua kama vinatumika kuvifunga haiwezekani kutokana na jinsi vilivyotengenezwa, ila unachopaswa ni kuupdate software yake tu
hapo ndio inatakiwa aliyekuuzia muwe mnawasiliana ili inapotoka SW mpya anakupa....lkn wachina hawa bwana wakibadilisha SW mara tatu nne hv wanaachana na hiyo kitu wanaibuka na kitu kipya kabisa.Sasa hiyo software yake unaipata wapi? si ndio mambo ya kunnua kwa 40k, si afadhali niweke Compact DSTV?
information asymmetry=upande m1 unaficha maelezo muhimu kwa faida yake binafsi.Kwa hiyo unataka wa2 wanunue kwanza halafu uwaambie pata potea?uwaambie ukweli ili wacjutie maamuzi yao baadaye.
Hivi ushawahi kufunga dstv kweli wewe au unasema tu,premium ndio package ya ukweli lakini ndio unatowa 128,000 kwa mwaka utatoa sh ngapi? Na sio muda wote utakuwa unaangalia tv
Mkuu mimi nimeweka compact plus na naburudika vilivyo,kwa mfano mm ni mpenzi sana wa mpira na
mechi ambazo zinaonekana kupitia super sport 3 nazipata kwy ss10;as long as bado wanatunyonya'
Hii kitu itakuwahewani tena ndani ya wiki kuanzia sasa. Seva yao inayo-share card ilikuwa na matatizo. Habari nilizonazo inabadlishwa na itakuwa hewani muda wowote
Server haijarudi ndugu yangu fanya mipango mingine ligi karibu itaanza wiki ijayo.Mkuu,vipi sever imeisharudi hewani? Naona sasa si wiki tena,bali miezi,huh!