Deci kumekucha;onyesha risit;aa ushavuna wewe ...mmh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Deci kumekucha;onyesha risit;aa ushavuna wewe ...mmh

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 23, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,169
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli kazi ipo wacha hawa jamaa wawaweke ndani wachungaji....
  leo kumetokea vituko vya ajabu watu wamejipanga mpaka barabarani walipoingia wanakwambia onyesha risiti...baada ya hapo wanakuangalia kama umevuna.kama ushavuna hata mara moja wanakwambia kaa pembeni ushavuna...tunarudisha kwanza wasiovuna....mmmmhh hapo ndipo wanajionyesha wazi kumbe pesa zao walikuwa wanategemea """"""""""""""""""""""""""""""""""MBEGU""""""""""""""""
   
 2. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mama Mia

  Nakumbuka stori ya Mpanzi kwenye biblia alipokuwa anapanda mbegu zake.
  Mpanzi alitoka kwenda panda mbegu njema shambani mwake, na zingine zilianguka pakavu, zingine kwenye miba na zingine zilianguka kwenye udongo mzuri zikazaa.

  Kuna mtu wangu wa karibu kalizwa na DECI, usilolijua ni kama usiku wa giza!
  Tunajifunza kwa makosa mwisho wa siku!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,169
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  belinda nduguyo nilipeleka miilion 4 na sikatai nimevuna mara tatu....ila ilipofika mwezi wa 2 ndugu yangu mmoja wa wizara ya fedha akantonya ngoma inayoyoma kachukue..mbegu zako...mmoja wa walioathirika mama yangu ...akakimbiza million 1 nkamshauri sana achana nao.....akasema mbona we umevun***loh
  Tatizo moja la watanzania tunapenda slope pesa za mteremko hatutaki kuhangaika kufight ule kwa jasho lako watu wengi wanashanga mengi anatoa million 100 kila sehemu kama njugu wanahisi ""albino"" jaribu na wewe upate......so prblm yetu tunataka life fasta ati life very short nani kakwambia watu wanajazana pasada kuomba dawa za kuonmgeza nguvu tunasema very short enjoy much....mmmmhhhhh DECI we sitokusahau
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Inauma lakini ndo hali halisi na imeshatokea kuna waliovuna vuna kidogo ila kuna wengine holaa hebu fikiria mtu unavyochanganyikiwa.
  Huyo binamu wangu alitakiwa kuvuna july katikati baada ya kuanza kupanda hizo mbegu yaani nimekuja kujua wakati DECI imeshasambaratishwa, kimemuua kweli maana alikuwa anafanya suprise na nyumbani walikuwa hawajui naona sasa ameshangazwa vizuri,kaumia kweli kama wengine mana hakuvuna. Pole sana ila si angalau umevuna kidogo maana kuna wengine ambao walipata habari kwa wenzao kwamba wamevuna baada ya kupanda na wao wakaenda kupanda na hawajapata kitu!.
  Maisha yaendelee, ni fundisho tosha!..Kwanza wataweza kuwalipa watu wote kweli,sidhani!..DECI imekuwa dekio,huh!..
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,169
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Maisha yaendelee, ni fundisho tosha!..Kwanza wataweza kuwalipa watu wote kweli,sidhani!..DECI imekuwa dekio,huh!..
  kwa acc ipi dear
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Poleni sana DECI
   
 7. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Lakini kama ulisha vuna, manake si walau ulisha pata mbegu yako? kwa hali ilivyo sasa nadhani kama ulisha vuna ulizike tu, kwani mvuno wa kwanza unarudisha mbegu na cha juu.. Jamaa yangu alinambia aliweka laki 2 na mvuno wa kwanza alipata laki 2 na 27!
   
 8. m

  mleu New Member

  #8
  Apr 23, 2009
  Joined: Aug 13, 2008
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua sijui ni ushama au upungufu wa akili kwa kweli kama hawa DECI wangekuwa na la maana wanalofanya kungekuwa na faida inayoonekana, ila kwa akili zetu fupi za madafu hatukuangalia kama wanafanyia nini hizo pesa, eti jamani huenda uchumi wangu ni wa vidudu maana kwa nijuavyo mimi hamna biashara ya faida zaidi ya asilimia mia ndani ya muda mchache jamani lazima kuna michango mengine itakayofanya returns ziwe kidogo chache au naongopa, haya wabongo ambao tunajidai ni risk takers hilo limebumburuka kama maji ya kunawa, na halijaanza hili nakumbuka kuna kipindi pia kulikuwa na fomu zinatandazwa eti ukiweka elfu hamsini halafu baada ya muda unapata mafao mengi ikawaliza wanafunzi wengi wa UDSM ila bado hatujifunzi tuu. sijui na mimi nije na wazo langu mbona kilamtu anavuna jamani?
   
  Last edited: Apr 23, 2009
 9. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pasada ni nini?
   
 10. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nadhani cha msingi kila mtu arudishiwe pesa yake, ambazo nahakika hawataweza kurudisha mbegu zote! Kwahiyo wanaongojea fidia wasahau!
   
Loading...