Wadau, mi nataka nifahamu tu, zile pesa ambazo serikali ilizifreeze kutoka wale matapeli wa deci, waliochukua hela za walala hoi wengi na kuzizungusha kwa malengo ya kuwadhulumu zitakapokuwa nyingi ziko wapi, na walio changia watapata vipi pesa hizo?? kama kuna mdau mwenye taarifa nazo, please, toa msaada wako katika hili.....
aisee
ctaki
ata
kukumbuka
waliniharibìa
maìsha
yangu
kwakunifanya
nìshindwe
kumalize
chuo,
coz
ada
yangu
yote
ya
miaka
miwili
niliiweka
kule,walaaniwe
kabisa.
Duh pole kiongoz naona ulichezea makida elimu..dah hiyo utakuja simulia had wanao
Waliopanda deci wote mabwege tu ni watu wasiojua kufikiri.. !!
Kwani ndugu zangu hawawez kuwa mabwege? Si binadam tuu..uckute
ata
ndugu
zako
walipanda
Kwani ndugu zangu hawawez kuwa mabwege? Si binadam tuu..
Kama yupo basi nae ----- tu