December Kipindi Cha Magufuli Mshahara tar 19

Kweli mzigo umoo! Sasa itakuaje ngoja hata kalaki mbili nikitupe mahali
 
Mkuu kumbuk magu alikuw mgalatia
 
Wanaopokea after x-mass ndio watafaid
 
Hata kama talipwa tarehe 45 sitautamani uongozi wa Magufuli.
Siwezi kutamani uongozi wa mtu aliyeutesa utumishi wangu kwa miaka 7.
Samia kuingia tu March, June nikapanda daraja. Kwa msiojua ukipanda daraja mshahara unaongezeka zaidi ya laki 2.
Magufuli aoze salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…