Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 337
- 1,945
Wanamtandao wanakata tawi walilokalia wanafikili wataanguka walala hoi pekee?
Nawaambia tawi likikatika wakwanza kudondoka Ni mafisadi.
Wananchi hasa vijana hatuna Cha Kupoteza
Endeleeni kushupaza shingo muone tunavyoenda kuwashughulikia
Yaani mpaka sasa bado tu hamjui vijana ndani ya mfumo wameasi?
TISS,JWTZ, Police watumishi wote wa umma under 40 wameasi ambao ni 70% ya Wafanyakazi wote.
Nawaambia hii Vita wanamtandao mmeumaliza mwendo.