donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Lol, sorry mkuu kabanga ila haya mambo kweli ukiwaza sometimes yanatisha. Kuna msemo wanasema we live to die but only God knows when!
Za jioni wakuu,
Nimekua najiuliza kwa muda mrefu sana myths mbalimbali zinazo surround kifo. Kweli katika mambo ambayo Mungu wetu alituficha ni hilo. Kuna wengine wanatheories zao wakisema at moment of death ile kabla mtu hajakata roho within a flash of seconds anaona zile good memories zake before he/she dies. Kweli death is scary, na inasemekana before your soul is taken kuna maumivu matata sana lazima uyasikie. If only we could know or days daah, mtu unakuta ashapanga plans zake kibao kumbe usiku huo ndio siku yake aliyoandikiwa and its obvious you can't cheat death. Unakoswa koswa na ajali unakuja kuangukia bafuni n' off you die! Hua najiuliza sana, when my time will come itanikuta katika hali gani? Niko bar? Kanisani maybe? Nimelala? Yaan sometimes when you think of which way ya soul is gon be taken unaweza ukakosa raha. I only hope that I'l be in peace with my God before I die because its the end that matters. Unakuta mtu alikua mtenda mema maisha yake yoote, siku hiyo akafanya uovu kidogo hata kukasirika tu akaondoka tayari msala huo. And for those like us who we believe in the after life, daah sijui itakuaje. Will we be able to see our deceased friends and family? Oh, lord have mercy on our souls!
Death and dyin are an INEVITABLE, part of human life .
Hilo la kwanza .
Pili -
No one is promised yahusuyo kesho!
The only thin we can caunt ni yale yahusuyo leo .
Many pipo around the world turn to religions to answer questions abt death , and the afterlife .
Some pipo know ahead of time when their death will occur .
When diagnosed ahead of time , allow a person to set his/her affairs in order to make relationships right , and say goodbye to loved ones .
Inaonyesha jinsi gani unaogapa kifo! Niambie ni lini uliwahi kuwaza Kama ungezaliwa wa kiume ama wa kike? Unakumbuka maumivu ya kukatwa kitovu? Unakumbuka kilicho kufanya ulie ulipo toka tumboni mwa mama yako? Usivyo kuwa na majibu ndivyo hakuna aliye na majibu wala usibitisho wa hii mada uliyo ileta hapa.
kaka kuna watu wanogopa,lakini kifo hakiepukiki kamwe kamwe... mazingira ya kuja kwake ndio tatanishi...!
Kuna theories zinasema tunakufa mara nyingi kabla ya kufa kabisa, kwa mfano wewe uliyeamka asubuhi si wewe unayesoma msg hii saivi na siwewe utakayeamka kesho, ni theory ngumu na inahitaji muda wa kutosha kuijadili
Kuna simu nilitaka piga hapa nimeahilisha,umenipa hofu gafla
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Duuh mkuu hebu dadafua kidogo
Jiulize roho zinazo zaliwa zina toka wapi na roho zinazo kufa zinakwenda wapi? Jiulize pia miili inayo vikwa roho zinazo zaliwa inatoka wapi na miili inayo kufa daima hurudi mavumbini Kama dini zinavyo erekeza. Swari!? Inakuaje mtoto anaye zaliwa ana fanana na marehemu wa miaka mingi sana Eidha ni Babu yake ama Bibi yake?