Death with Dignity Law - Uhuru gani huu?

Outlier

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2008
Posts
323
Reaction score
21
kutoka hapa

Wash. state has first death under new suicide law - Yahoo! News

Demokrasia gani hii?

Ndo freedom of choice hiyo! Wewe ungependaje?
Pia, Democracy sio uhuru bali ni system ya utawala. Ina maana nguvu inakuwa kwa majority. Unapotumia hili neno hapa sidhani kama linaleta maana halisi ya nakala yenyewe.
 
neno demokrasia na uhuru magumu kwangu; je ujumbe umeupata au bado?
mimi hii sheria naiona haifai kabisa.
 
Maumivu kama haya na uchungu wa mwili hupungua ubora wa maisha saana. I can see how death is a relief.
 
neno demokrasia na uhuru magumu kwangu; je ujumbe umeupata au bado?
mimi hii sheria naiona haifai kabisa.

Ujumbe nimeupa mkuu. Kwa nini uone haifai? Mimi binafsi baada ya kukutana na watu walio-pooza kutokana na ajali, nk wakihudumiwa, nadhani wengi wangependa kutoa maisha yao. Pain and suffering zinamaliza hamu ya maisha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…