Death sentence

Kaka hili tukio ni la kibabe, imagine ungekuwa wewe halafu huyo askari mbele yako akupe nafasi moja ufunguliwe ukabiliane na huyo jamaa nyuma yako akikushinda unyongwe na ukishinda uachiwe. Hizo kuta zitaanguka mkuu!

Mkuu hapo ata wakifanikiwa kweli izo kuta zitakua chini na wataitana wote
 
Mkuu hapo ata wakifanikiwa kweli izo kuta zitakua chini na wataitana wote
Mkuu inanikumbusha story moja; jamaa mmoja alikuwa mbabe na muonevu sana kijijini, siku moja chui kaua mbuzi na vijana wakaamua wakamsake. Ile wanaingia porini tu wakamuona, nani amfuate????? Yule mbabe kajitolea kwa kuwaasa wenzie kuwa akimkabili tu waende wakampe nguvu, jamaa kupiga hatua 10 tu, chui huyu! Akamshika miguu ya mbele wakaanza kuzungushana huku akiita njooni: wenzie wakadakia "Pambana nae tu we si mbabe" wakamsaliti. Vijana wakamuacha na kurudi kijijini, wakaulizwa na wazee kuwa imefikia wapi na kujibu tumempata tumemuacha anapambana na mbabe mwenzie. Wazee ndo wakaenda kuokoa jahazi wakakuta jamaa kaelemewa mbaya!
 
Wakati huo ninakufa kutakuwa na maiti japo wawili hapo chini....
 
Hicho ni kizazi cha zamani siyo cha sasa,pangechimbika mbaya...harafu wanaacha tunyongane wenyewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…