Death Faces. Execution

Jesus!, zinaumiza but ni bora muuaji wa kweli, anayeua watu wasio na hatia, auawe kuliko mtu anayeuawa kwa chuki binafsi au kwasababu anawatetea wenzie wanaokandamizwa, mfan viongozi na watu mbalimbali Africa na Duniani kwa ujumla, eg. Some Black Americans kipindi cha utumwa waliouawa kwa sababu walitaka kuleta mapinduzi dhidi ya watu weupe na watu waliokuwa wanawakandamiza, kuwatumikisha, kuwanyonya na kuwanyanyasa wengine, kuna mmoja alikuwa maarufu sana Kenya, sema jina lake nimemsahau, alikuwa kama anavirasta fulani hivi, mwanaume, nilishawahi kuona kwenye Tv alivyokamatwa then walimuua but alikuwa mtu shujaa sana na Kenya wanamuappriciate kila kukicha, hawezi kusahaulika, nafikiri ilikuwa kipindi cha Mau Mau kule Kenya
 
mauaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…