huna lolote, hauna ujanja wa kubadili IMEI No.......inasaidi ila kwa sisi wajanja wa fani ni kazi bure tu
inasaidi ila kwa sisi wajanja wa fani ni kazi bure tu
nishamwambia, ila usisahau kugonga kitufe cha upande wako wa kulia plzTell him
huna lolote, hauna ujanja wa kubadili IMEI No.......
tueleze kidogo tu mkuu, mnafanyaje?? kubadili hiyo serial number
Pearl, humu jf kuna watu kazi yao ni kubisha tu....achana nae huyo!Nadhani cm yako inatatizo mm mbona halijawahi kuhama?
sawa....dont try....we ni mnaiga nini?ukidial hiyo namba salio lote linahama. huh!
Pearl, humu jf kuna watu kazi yao ni kubisha tu....achana nae huyo!
pls nitake radhi kwakuniita mwongo