Dear WEWE........

Last edited by a moderator:
cacico baby, I salute

mlongo wangu snowhite kwa raha zako mamaaaaa
ahahahahhahahhah na si unajua utamu wa raha ujue kuzila,ah mi sijivungi kwa kweli zile pande ,kama usawa wa kuongea ndo poa kwanini mtu usitirirke !ahahahhahahhah chezeya mtiririko wa aliye kibo au mawenzi wewe!ngoja nimwite mwalimu gfsonwin audadavue unakuwaje!au ASHA dii na mwaJ
 
Last edited by a moderator:
NOW , Naamini ni kweli weakness ya mwanamke ni masikio "KUSIKILIZA" na kwa mwanaume ni macho "KUONA". Ndio maana wanaume hudanganya sana, na wanawake hujipodoa sana.
 
Episode ya pili nahisi atazungumzia alivyoumbika, atazunguzia sura,lips, miguuu, nk ili mradi tu anase windo lake!Haya mwandishi ni ntaisubiri hiyo episode inayofuata!!
Hahahahaaa no bhana hiyo itakuwa very common this one will be a lit different ili isifanane na zile zilizozoeleka
 
Hahahahaaa no bhana hiyo itakuwa very common this one will be a lit different ili isifanane na zile zilizozoeleka

Hongera, najitega, ninanjaa ya style mpya ya uandishi! All the best!!!
 
Hahahahaaa no bhana hiyo itakuwa very common this one will be a lit different ili isifanane na zile zilizozoeleka

Tafadhali huo waraka wako usiwe kwa ajili ya Preta wangu!! Dada Snowhite nitangatilayi!!!!!
 
tumwite na rafiki yangu nyumba kubwa
 
Last edited by a moderator:
Ingia kwenye fani, mpangilio mzuri wa maneno
 
Last edited by a moderator:
snowhite bora mwalimu gfsonwin au AshaDiiwaje wadadavue. Mie nikishaona mtu anatiririka hivyo napata uvivu wa kufuatilia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…