Dear WEWE........

mi huwa nakuwa nazo zile 100 za tigo na zinaisha!imebidi tu na mr nae aumwe vidole siku hizi ili twende sawa!mi naandika bana!kha,ningekuwa ni me mbona wangenikoma kina dada wapenda kuimbiwa kama mimi!aahahahahahhaha
 
M'Jr huu waraka nahisi utakuwa na sifa za tanzia bana!mbona kama plot yake inaanza kunitisha!ah mi nataka mwisho wa siku kieleweka lakini nahisi hapa kama kuna mwisho mbaya hapa!ah
 
Last edited by a moderator:
M'Jr huu waraka nahisi utakuwa na sifa za tanzia bana!mbona kama plot yake inaanza kunitisha!ah mi nataka mwisho wa siku kieleweka lakini nahisi hapa kama kuna mwisho mbaya hapa!ah
Subiri basi kwanza uone muunganiko story mama, yaani ni kama Cinderera vile, snowhite
 
mimi nime-give up, najua ni kumtega tu kumlazimisha na ma-sms, nimemwacha...... nimepewa offer ya "beep upigiwe", hata nikimpigia huwa anakata then ananipigia
 
mimi nime-give up, najua ni kumtega tu kumlazimisha na ma-sms, nimemwacha...... nimepewa offer ya "beep upigiwe", hata nikimpigia huwa anakata then ananipigia

hapo kwenye bold nimechekaje!yani hataki hata useme kwa maneno yako mwenyewe "eti kata nikupigie"mwe !
 
Dear WEWE.S01E04

Najua unashangaa mpaka sasa sijakutaja jina, natamani sana kulitaja ingawa tatizo ni kwamba nikilitaja tu nahisi kama uko hapa mbele yangu wakati uwepo wako mbele yangu hunifanya niwe mpole na tena ninyong'onyee mithili ya mbwa mbele ya chatu. Kwahiyo kwa sasa ntaomba nisilitaje tu jina lako japo ninalijua jina la kwako na la wale wote unaohusiana nao kwa karibu (Hii nilipata baada ya kuangalia mkataba wa kupangisha nyumba pale unapoishi sasa) si unajua moja ya CCTV zangu iko pale?

Wakati unasoma waraka huu, tambua kwamba kuna mtu anayekupenda kuliko maisha yenyewe, na kama nitapewa kuchagua kuishi bila wewe na kufa nikiwa nimekupata basi nitachagua kufa nikiwa nimekupata maana kuna umuhimu gani kuishi ilihali ukiwa na mateso moyoni? Kwa mujibu wa mtazamo wangu siamini kabisa mimi hata nastahili kukusalimia lakini kwa kuwa mapenzi hayaangalii vigezo vingi ambavyo baadhi yake nimevisema hapo kabla basi naamini japo utanifikiria. Naishia hapa na kwa bahati mbaya sana nitakuwa mgonjwa mahututi na si ajabu nikapelekwa hospitali katika kipindi hiki nitakachokuwa nasubiri japo kuona sura yako maana ndiyo pekee inayoweza kuniponya.

Ndimi mimi,

Haya waraka umefika na umesomwa nini kitafuata? Usikose Season 2 kesho
 
mimi penda hizi poetic language bana!dah haya M'Jr kila la kheri ila kimsingi haruki kamba huyo mrembo!
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye bold nimechekaje!yani hataki hata useme kwa maneno yako mwenyewe "eti kata nikupigie"mwe !
yaani, raha tupu............... ngoja siku niwe na 200 yangu nijidai kupiga apokee, ha haaaaaaaaaaaaaa itakula kwangu
 
yaani, raha tupu............... ngoja siku niwe na 200 yangu nijidai kupiga apokee, ha haaaaaaaaaaaaaa itakula kwangu
haya makopa kopa :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:yana mambo haya we acha tu!ila mkijuana poa sana!
 
mimi penda hizi poetic language bana!dah haya M'Jr kila la kheri ila kimsingi haruki kamba huyo mrembo!
Hahahahaaa haya sasa kwenye season 2 hebu sema matukio unayotaka yawemo ili inoge zaidi
 
souvenir haya umemaliza kusoma mama au bado unatafakari
 
Last edited by a moderator:
napenda mtu akijieleza kwa kirefu namna hii!
hata kitandani akiongea inanoga zaidi kuliko wanaogeukaga mabubu ghafla, halafu mara wanakuwa kama wapigwa ganzi kwa kukakamaa! lol! kujua kujieleza ni pouwa asee!
 
la maana hapa ni kujuana.................... mtayafaidi sana

ila kweli nongi!mkijuana mnashaangaa miaka inakatika tu wakati nje watu wanaweza kuwaimagine nyie ni zile impossible couples kumbe walaaaaa kitu na box tu na mambo yanaendelea tu!
 
hata kitandani akiongea inanoga zaidi kuliko wanaogeukaga mabubu ghafla, halafu mara wanakuwa kama wapigwa ganzi kwa kukakamaa! lol! kujua kujieleza ni pouwa asee!

wacha kabisa hapo mukitanda ndo doooh!daaah!pana chezeya utamu wake
 
napenda mtu akijieleza kwa kirefu namna hii!
Episode ya pili nahisi atazungumzia alivyoumbika, atazunguzia sura,lips, miguuu, nk ili mradi tu anase windo lake!Haya mwandishi ni ntaisubiri hiyo episode inayofuata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…