Dear Son

Dear Son

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,689
Reaction score
26,568
Epuka haya mambo matatu ambayo ni machukizo masikioni na mioyoni mwa wasichana wa kisasa;

1. DNA test
2. Virginity
3. Accountability

Usitafute ugomvi usio na ulazima.

Ni mimi baba yako.

Consigiere
 
Yani yaepukwe kivip , fafanua kidogo mkuu
 
Yani yaepukwe kivip , fafanua kidogo mkuu
Aepuke either kuyatarajia, au kuyaongelea au kushari.
Wakisikia huwa hawapendezwi nayo na sisi tuna jukumu la kuwafanya wawe na furaha, siyo kuwakwaza
 
Back
Top Bottom