BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,075 Reaction score 8,416 Jul 10, 2021 #21 cocastic said: Click to expand... Ila wewe katoto utaishi miaka mingi saana. Anytime uko happy
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Jul 10, 2021 Thread starter #22 Okay
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,212 Reaction score 103,108 Jul 10, 2021 #23 Wale wa Dear nikuambia kitu njooni mpange foleni PM mniambie hicho kitu, Mimi naumiza kichwa jinsi ya kutumia hela na sio jinsi ya kupata hela. š
Wale wa Dear nikuambia kitu njooni mpange foleni PM mniambie hicho kitu, Mimi naumiza kichwa jinsi ya kutumia hela na sio jinsi ya kupata hela. š
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 10, 2021 #24 BIN NUN said: Ila wewe katoto utaishi miaka mingi saana. Anytime uko happy Click to expand... Kwanini kasiwe na tabasamu ya kinafiki? Ukijua ukweli utakahurumia
BIN NUN said: Ila wewe katoto utaishi miaka mingi saana. Anytime uko happy Click to expand... Kwanini kasiwe na tabasamu ya kinafiki? Ukijua ukweli utakahurumia
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,075 Reaction score 8,416 Jul 10, 2021 #25 kolola said: Kwanini kasiwe na tabasamu ya kinafiki? Ukijua ukweli utakahurumia Click to expand... Kwamba ukweli wake upoje mbona wanifikirisha ?
kolola said: Kwanini kasiwe na tabasamu ya kinafiki? Ukijua ukweli utakahurumia Click to expand... Kwamba ukweli wake upoje mbona wanifikirisha ?
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 10, 2021 #26 BIN NUN said: Kwamba ukweli wake upoje mbona wanifikirisha ? Click to expand... Muulize mwenyewe
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,075 Reaction score 8,416 Jul 10, 2021 #27 kolola said: Muulize mwenyewe Click to expand... Sasa wewe ndo umeniambia ngejua nakuuliza wewe tena wasema nimuulize yeye !!? Basi hapakuwa na haja ya kuniquote.
kolola said: Muulize mwenyewe Click to expand... Sasa wewe ndo umeniambia ngejua nakuuliza wewe tena wasema nimuulize yeye !!? Basi hapakuwa na haja ya kuniquote.
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 10, 2021 #28 BIN NUN said: Sasa wewe ndo umeniambia ngejua nakuuliza wewe tena wasema nimuulize yeye !!? Basi hapakuwa na haja ya kuniquote. Click to expand... Mbona unahamaki sasa? Nilidhani naongea na muungwana
BIN NUN said: Sasa wewe ndo umeniambia ngejua nakuuliza wewe tena wasema nimuulize yeye !!? Basi hapakuwa na haja ya kuniquote. Click to expand... Mbona unahamaki sasa? Nilidhani naongea na muungwana
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,075 Reaction score 8,416 Jul 10, 2021 #29 kolola said: Mbona unahamaki sasa? Nilidhani naongea na muungwana Click to expand... Sawa kijana. Ukikua utakuwa unaelewa kiswahili.
kolola said: Mbona unahamaki sasa? Nilidhani naongea na muungwana Click to expand... Sawa kijana. Ukikua utakuwa unaelewa kiswahili.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Jul 13, 2021 Thread starter #30 Udangaji Kama hakuna kesho