Dear Mkufunzi...

Nop

Najua nimeandika kwa codes.

Ila huu uzi hauna chembe hata moja ya Mahaba ya kitandani wala mambo ya katerero. Ndo maana sijaweka K Matata wala K Mahaba.

Acha niishie hapo codes zinatakiwa zibaki na amani iendelee kuwepo.

Kasie mambo Ya code yameanza lini lkn.
Kasie na mahaba, mahaba na kasie sasa kama umekua mkufunzi kwenye sekta yako si utujulishe tumjue coachπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kasie mambo Ya code yameanza lini lkn.
Kasie na mahaba, mahaba na kasie sasa kama umekua mkufunzi kwenye sekta yako si utujulishe tumjue coachπŸ˜‚πŸ˜‚

Aahahahahhaaa akinipa kibali nije kutoa codes ntasimulia ama laah ntakuwa nimeuza siri ya kambi.

Ibaki tuu Mkufunzi amenifunza vyema nami nimefuzu.

Huyu coach bin Mkufunzi simuweki hadharani hata kidogo yuko busy sana na majukumu ntakuwa nimemkwaza.

He is one in a million to get his time.
 
Tumtakie majukumu mema mkufunzi, kama itampendeza tunaomba unlock code yeye mwenyewe
Natumaini hukua kilaza kwenye kusomeshwa
 
Tumtakie majukumu mema mkufunzi, kama itampendeza tunaomba unlock code yeye mwenyewe
Natumaini hukua kilaza kwenye kusomeshwa

Aaamiiin...!πŸ™

Inshallah mwenyezi Mungu ampe wasaa wa kuandika huku kufungua hizo kodisi aahahahahaa

Mie tena, naanzaje kuwa kilaza mbele ya mkufunzi.
 
Kasie kwa hyo una tme na mimi tena nifanye yangu sio? Na Dadii ana hizi taarifa pia na yeye
 
kuuumbe ulikuwa unalipuliza Best?? Ndo maana hukasirikagi?? Yaani hata mtu akikujibu shit!!! Unachekaga tu!!! Bange hapo zimekukolea!!! Ile kitu kuacha ni ngumu sana hallow.
Hasa cha Arusha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…