Dear Miss Leejay49

Tatizo naliona kwako ni kutokujiamini, bado unazunguka zunguka
 
Ila Manyanza kweli ww wanakulazimisha kugombana, ugomvi sio sehemu yako kabisaa.!! πŸ˜‚
Yani adui anatoa kisu ww unamkabidhi pistol akumalize 🀣🀣🀣
Wizzy muache Manyanza ni swahiba angu
 
Manyanza kesho utakuwa na muda? Nataka uje tupate lunch pamoja kwangu, niwakutanishe na wizzy.
Niambie mapema ili tujue km tuna mgeni wetu rasmi kesho.. Utachagua na member mwingine wa kukusindikiza ili usiogope, itapendeza ukija na leejay
Mseme na aina ya vyakula mnavyopendelea sawa?? πŸ™
 
Fantasy hazikatazwi lakini ulivo fantasize hapa.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Aisee unachokiandika hiki kuna umuhimu wa kukuanzishia uzi.
 
WAHAYA WAKIPATA PESA WANATABU SANA

So that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…