Dear Ladies

Sio Afrika tu bali ni janga dunia nzima, ebu kamuulize Rais wa USA "Trump" kuwa kabla hajawa na Mkewe wa sasa katika ndoa alishaishi na Wanawake wangapi na kuwatimua?
hapan mkuu angalia wanawake wa kizungu walivokuwa na msimamo na wasivopenda kujiharibia heshima na mtazamo wao ...angalia hata case za watoto kupeana mimba uznguni zipo ila sio kama huku na kule watoto wana ma boyfriend kuanzia akiwa wadogo sana na azazi wao wanajua kwmaba mwanangu ana boyfriend au gilrfriend mfano hiyo ingekuwepo huku africa tungefika
 
Lawama ulizozitoa hakika huwatendei haki wanawake
Naomba utambue kwamba si kweli kwamba wanaume wote wenye wake zao au mahusiano mengine zaidi ya mmoja kwamba hawana upendo wa kweli
Lakini pili elewa kwamba kama kweli kila mume mwenye mke asikubaliwe na mwanamke mwingine kwa takwimu hizi za wingi wa wanawake kuliko wanaume kuna hatari wanawake wengine wakakosa wanaume wa kukidhi haja za kimwili
Hata hivyo naungana na wewe kwa kauli kwamba ni vema wanawake wakajitambu na kuwaepuka wanaume waongo na wenye nia mbaya dhidi yao
Aidha wapo wanaume baadhi yao huja kwa nia ya kumtumia mwanamke ili apate anachokitaka na ni rahisi kuwajua kwa kila mzani utakaompima utaona tu kwamba hatoshi
Akili kichwani si kila mwanaume ni mwongo na si kila mwanamke ni fala
Binafsi nawaheshimu sana viumbe nyie wa kike na ukiacha mke wangu ninayempenda bado ninayo madanga yangu kadhaa ambayo tunaheshimiana sana tu na yanajua kabisa kwamba nina mke na yanaheshimu hilo
 
Mkuubnaona umeamua kunitusi,

Umeniweka kwenye kundi la kike
 
Anayerekodi na anayerekodiwa,ni kutokujitambua tu.Kwa sababu hakuna cha ajabu anachokifanya.Sex ni sehemu ya maisha na inaeleweka hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…