Dear Ladies

Badilisha hapo juu mimi ni KAKA sio DADA
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe...
Nilivyoanza kuishi na mwanamke niliweka wazi kua nna mke, wenyewe ndio kwanza hawana habari na mimba wajibebea tu..

Wengine walinikataa niko singo baada ya kuoa ndio walikuja mbio.. Yaan nilibaki nimeduwaa tu huku nakula utamu wao...
 
Wanasema ni rahisi kupata dem ukiwa na dem kuliko kuwa singo
 
wanawake wa kiafrika kuna kitu kinawasumbua kichwani mwao
 
Halioni hata aibu hili jamaa
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…