Dear ladies msiache kupitia hapa

Dear ladies msiache kupitia hapa

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,290
1. Ngono haimfanyi mwanaume asikuache, hata ukukuruke vipi, jikwatue kiasi gani kama hajaona quality za kuwa mke atakuacha tu.

2. Mwanaume anaekupata kwa vile alitumia pesa zake kwako hatakaa na wewe milele. Wanaume halisi hawawezi wakatoka na wanawake feki wanaopenda pesa. Ukibahatika sana atakufanya daraja la pili yaani mchepuko!

3. Uzuri wa mwanamke unaweza ukampelekea akaolewa ila tabia yake ndio itakayoamua ni kwa muda gani atadumu katika ndoa. Uzuri huvutia wanaume, ila tabia hufanya wanaume wadumu na wewe.

4. Pesa kiukweli ina faida sana na ni muhimu kwa mtu yoyote kuwa nayo ila pesa peke yake haiwezi kuleta ukweli wa maana halisi ya furaha na maisha.

6. Kuwa mzuri bila tabia njema hakuwezi kukakupa mume bora, sana sana utapata Boyfriends na wanaume za watu.

6. Tendo la ndoa linaleta faraja ila haliwezi kuleta upendo. Sex ni zao la mapenzi, mapenzi sio zao la sex.

7. Sex inaweza kufanya mwanaume alale na wewe usiku kucha, na asubuhi akaondoka zake ila upendo hufanya mwanaume aishi na wewe daima.

8. Kuna mambo mengine pesa haiwezi nunua kama tabia na heshima, kama ulikubali kuolewa nae kisa pesa zake. Usidhani kupitia pesa zake ataweza badilika.

9. Uvaaji wako siku zote ndio utakaoamua ni nini wanaume wazungumze na wewe!.
FB_IMG_1517733960501.jpg
 
Nimechungulia sijapitia hapo, kuona kama mytamutamu wangu kama anafiti hapo..
 
Nipo VP, hujanitafuta tu.
Za kupoteana? Kwema lakini?
Zakupoteana mbaya tu sababu nilimis kuona andiko lako !!!

Yah kwema sana ,kheri ya mwaka mpya ingawa nmekua Wa mwisho ila wamwisho ndo anakuaga mshindi!

Sasa ningekutafuta ningekupata wapi? Usikute ulimezwa chatu
 
Nashukuru kusikia hivyo.
Asante sana kwa kunikumbuka.

Wala hujawa wa mwisho. ..ndio Kwanza naipokea ya Kwanza leo. Na kwako pia VP.

Huyo chatu ungemfanyia maarifa kujua kama alinimeza mimi au lah.
 
Nashukuru kusikia hivyo.
Asante sana kwa kunikumbuka.

Wala hujawa wa mwisho. ..ndio Kwanza naipokea ya Kwanza leo. Na kwako pia VP.

Huyo chatu ungemfanyia maarifa kujua kama alinimeza mimi au lah.
sasa kwa kupotea huko kwann nisiseme ulimezwa nachatu??.

Je wajua JF imenipa Tuzo ya Mchekeshaji/Mfurahishaji Wa Mwezi ulopita??...kama ujui ndo ujue ulimezwa na Chatu mtu !!.

Kwangu mwaka mpya uko Poa mno nashukuru mbingu na Ardhi !!.

Lini utavua iyo kofia kwa Avatar?.
 
Daaaah maneno matamu sana hayo na mwenye sikio asikie
 
sasa kwa kupotea huko kwann nisiseme ulimezwa nachatu??.

Je wajua JF imenipa Tuzo ya Mchekeshaji/Mfurahishaji Wa Mwezi ulopita??...kama ujui ndo ujue ulimezwa na Chatu mtu !!.

Kwangu mwaka mpya uko Poa mno nashukuru mbingu na Ardhi !!.

Lini utavua iyo kofia kwa Avatar?.
Nina komwe balaa. ...Acha niendelee kujisitiri.

Najaribu kucheka siwezi, walikosea kukupa tunzo.
 
Nina komwe balaa. ...Acha niendelee kujisitiri.

Najaribu kucheka siwezi, walikosea kukupa tunzo.
Hahahahaha kumbe ndo siri yako?? pole sana ila naweza kukuchonga kikawa poa ila sharti ulipie !!.

Roho mbaya tu ,kwaiyo unaona wamenipendelea iyo tuzo?? IPI nayostahili sasa
 
Hahahahaha kumbe ndo siri yako?? pole sana ila naweza kukuchonga kikawa poa ila sharti ulipie !!.

Roho mbaya tu ,kwaiyo unaona wamenipendelea iyo tuzo?? IPI nayostahili sasa
Nitumie Brochure nione Service nyingine unazo toa.

"The Lovie Awards" ingekutendea haki.
 
Nitumie Brochure nione Service nyingine unazo toa.

"The Lovie Awards" ingekutendea haki.
Hahahaha My Brochure?? Hapa wazi i f you really want to know ,then you should let me know ili nikuPM hapa ni product with quality.

Iyo award kwa Hisani yako Madame!!.
 
Nikihitaji Service nitakutafuta.

Hii Award iko kwa Hisani ya Google na JF.

Ipokee tu.
You are welcome B , Not only a service , huduma bora zaidi !!.

Hahahaha kama basi ni kwa hisan ya Google , JF kwa ushirikiano wako wewe mpiga kura

Naipokeaaa .
 
Back
Top Bottom