Dear Husband


heeee. Ya kuruka ukuta kwenda kunywa pombe ni noooomaaaa.
 
Ukiona hivyo ujue mshahara umetoka lol

Nimekumbuka kumbe.........Sweetlady yu are so beautiful..........so wounderful ,......yua ari soo sweet. Usije sema cha kwako ni chako...........kizuri kula na nduguzo ati
 
Tatizo wanaume wanasahau mwanamke alitoka kwao akamfata yeye sio hela,nyumba na vilivyomo coz hizo material hata kwao zipo jaman

Hapa nna hakika huwazungumzii wanawake wa siku hizi......labda useme mama zetu!......Jamani tuwe wa kweli wanawake wa siku hizi mwanaume hana pesa hamtaki/hamthamini.....ingawaje wapo wa hivyo ila ni wachache sana mpendwa.....ni wa kuhesabu!

Mapenzi yanaenda sambamba na pesa pia!

Ni kumwomba Mungu tu ili turudi kwenye maadili ya kibinadamu.....hapo kila kitu kitakuwa sawa!
 
Nimekumbuka kumbe.........Sweetlady yu are so beautiful..........so wounderful ,......yua ari soo sweet. Usije sema cha kwako ni chako...........kizuri kula na nduguzo ati


Hahahaha Sidanganyiki lol!
 
Ngoja niende kwa sangoma.....utanitambua

Mwenzio huwa naogea damu ya Yesu hivyo nguvu za giza zilishindwa toka zamani sana!

Haya basi jioni nipitie nikununulie fanta moja!......hapa nimekuhurumia tu ujue!
 
Mwenzio huwa naogea damu ya Yesu hivyo nguvu za giza zilishindwa toka zamani sana!

Haya basi jioni nipitie nikununulie fanta moja!......hapa nimekuhurumia tu ujue!

Fanta? Kweli nimeamini akutukunae hakuchagulii tusi!
 
mamas kadogoo, kuna yule ambaye hana na mlikutana hivyo ukampenda mpaka mkafunga ndoa! sasa kaja kuzikamata, na unajua kabisa kuwa sasa mambo yake ni super, lakini cha kushangaza amekuwa mbahili kupita kipindi mlipokuwa hamna kitu, yaani hakujui kwa lolote, zaidi ya pale unapokomaa kwenye mambo muhimu kama skul fees ndio utamuona anaibuka, unless otherwise inakuwa imekula kwako! sasa mtu kama huyo utaniambia nipo kimaslahi kweli?? kwa kifupi wanaboaaaaaaaa! wanaacha nyufa wenyewe, halafu baadae wanatafuta mchawi ni nani!
 

Huyo wa hivyo tupa kule asikuletee shida mama wa ubatizo......mwanaume asiyejua majukumu yake wa nini bhana????
 

Kaunga mambo vipi... umesema vizuri sana hapo juu, wanawake wengi wanakuwaga na dream hubby alafu wakishaingia kwenye ndoa/mahusiano wanakuta sivyo hivyo. ushauri ni kwamba kama unatafuta mwanaume mwenye kazi nzuri /msomi/bossi basi uwe tayati kuwa lonely ... maana lazima atakua busy. Na wanaume wengi walio busy maranyingi wanamalizia ukame wao wakisafiri, maana kule ndio anakua free kiasi. Na hii ina apply kwa wanawake pia. Ni mtazamo wangu tu.
 

Mh...Ni nini kibaya kilitokea? Maana ni maneno mazito eti duh. Kama huyu muhusika anona haya basi lazima ajirudi tu
 
ooh my God! Dear Lord,please help me to understand better the needs of women.Amen

Ohh My Lord God, I raise up my eyes and hands, please help me understand the needs of my Preta!! Amen
 
Sijakupata.

Ulikuwa unaruka ukuta kwenda kunya pombe eee? Au husemi na mie?

yap. Kuna previous post niliweka. Ss mume nikimwambia asome post flani JF itakuwa nomaa
 
Au pengine ishakula kwake bila hata kujijua...mpaka bandiko hili limetoka, mangapi yameendelea nyuma ya pazia? teh teh teh! Kweli kua uyaone!

hamna bwana. Nampenda mume wangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…