Dear Husband


muhimu kufanya haya kuliko kuugulia moyoni akiwa mwelewa atakuelewa tu........:typing:
 

Karucee, mwambie huyo mzee live...anaweza kubadilika ati...akiendelea hivyo itakula kwake.
 
Upo wapi mwaJ jamani

Hivi kumbe Kaizer upo? Nilikua najiuliza hapa kwani kipindi hiki tuna vita na nchi yoyote jamani? Wanajeshi wote si wametulia kambini? Maana duh!
 
Last edited by a moderator:
Mademu wa kibongo ni wanafiki sana when you meet their financial obligations wanakuja na demand nyingine eti their hearts are too cold je nyie pia are you hot enough to cheer us up? Mwanaume ni kama Simba mchokoze uone she will treat you like a natural woman hamuoni wenzenu wa nyumba ndogo wanavyochakarika au nyie mlioolewa mnavyojiachia mkiwa "nje?"

Acheni unafiki bana
 

Thanks my dear wifee....

You know when we started how the situation was!!!!we couldn't afford our house rent fees,that we shifted for cheap one at Kwa Mtogole,I couldnt buy our baby pampas that you have to tear your kanga to rescue the same.......
This goes to a series of financial difficulties that make me who I am today.\
Honestly,I am not ready to get back in those ropes again,thats why I am working very hard so as to be as much better off as possible....

You have a point in your letter,but please,even ROMA was not built over night,I will try to bend towards your needs and please try as much to understand me also....

Sincerely yours,

Mr.X

Hahahahaaaa...was trying to reply....
 
Labda tuongee nao kwa kilatin, kiswahili or english they dont understand! Wapo busyyyyyyy, wanatuacha tu, realy boring!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wanaume wanasahau mwanamke alitoka kwao akamfata yeye sio hela,nyumba na vilivyomo coz hizo material hata kwao zipo jaman
 
Labda tuongee nao kwa kilatin, kiswahili or english they dont understand! Wapo busyyyyyyy,
wanatuacha tu, realy boring!
cacico mie siku moja nilisema ..what i need is you jamani... mtu anakujibu najua mama nanihii kwani unakosa nini tena mamaaa:A S 39:
 
Last edited by a moderator:

Kuna uzi upo humu wanasema mshahara wa mwanaume utumike kutunza familia na urembo wa mke, mshahara wa mwanamke ni wa kwake tu...........tukasema hewalaaa.

Ikaja ishu ya ngono kwamba wanataka mapigo ya uhakika na si masikhara...........tukasema tawiree

Leo imekuja hii ya kutakiwa " to be held by you, have you talk to me, hold my hand.... Simply talk to me and do fun things" balaaa khaa

Unaona sasa?
 
Uzuri siku hizi wanafunguka bila funguo safi sana wake zetu
 
cacico mie siku moja nilisema ..what i need is you jamani... mtu anakujibu najua mama nanihii kwani unakosa nini tena mamaaa:A S 39:
FirstLady1 acha tu nakwambia! anakwambia anayafuta pesa, pesa yenyewe siioni, halafu wakati anataka yeye ni balaa, anajifanya yupo serious na kusisitiza you r my wife! wanaboajeeeeeee????
 
Last edited by a moderator:
Acha woga mkuuu! Na hapo sio mwisho, tunaendelea kutoa more demands mwanzo mwisho!
 

BAK,

Kuna watu wengine wanaambiwa kwa lugha zote, lakini wapi. Hawaoni kama ni muhimu. Hawatilii maanani hasa.

Huyu sawa utasema mume ndo anatoa kila kitu, lakini wengine masuala ya kifedha wapo pamoja kuhudumia familia, ila mume hana nafasi za kutimiza psychological needs za mkewe.

Na mwanamke akiwa na interests nyingi na well rounded kwenye mambo mengi zaidi ya mume ndo kabisaaaa unakuwa msiba.

Wanaume kidogo mbadilike, mwanamake nae ana akili, ana opinions, ana interests, na anaetaka ku-share nae ni wewe......

Usipomtimizia atasepa (kama mstaarabu) kisha utakaa ujiulize mbona nilikuwa nampa kila kitu?
 
Umenena bro.Ilo ndo la kufanya na hakuna jingine.

 
Kazi ipo, wanawake watakuwa mapotato bure
 
I would like to advise you that before a majority say anything you should explain how you're...Body structure,color,by face,etc or put here your imagination picture!! as i know mostly of us...we have some interest on that part as i mentioned so do you have both of it?If not ni tatizo pia!!....Napita nakutakia kila la heri!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…