Dear Chadema, so WHO IS NEXT?

Kwa hili ccm imejishusha sana, mfalme kumchukua mpinzani wake na kumlamba miguu? yaani hovyo kweli! zile harakati za mwakyembe leo zimeishia wapi? kama Lowasa ni msafi sana wameona ni muhimu sana basi Mwakyembe na Slaa wangetimuliwa ccm kwa kumchafua Lowasa.
 
Chadema wanahitaji kukua na kukomaa
 
Mbunge wa arusha mjini godbless lema ndio ninaemuamini mno mpk sasa
 
Sasa hivi ndio mnakiri kura milioni sita zilitokana na kazi nzuri ya viongozi waliokuwepo mbona mlikuwa mnamshambulia Dr. Slaa
Slaa ndio alikuwa wa kwanza kuishambulia cdm kwa kuiita choo na kurudi ccm..ukweli utabaki kuwa asingefikisha kura alizopata lowasa
 
Hata wewe mwenyewe haujulikani Kama moto au baridi. Tazama boriti yako Kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi wasiwasi wangu ni kuwa yawezekana ilikuwa planned na lowasa ndio mgombea wa uraisi elf 2020 kwa tiketi ya ccm
 
Hoja yako ni nini hapa?
Chahali na wenzie wanataka kulazimisha ionekane kuwa kurudi CCM kwa Lowasa ni pigo, ilihali hata wao wenyewe wamejionea kuwa sio lolote wala si chochote.
Lowasa alikuwa ni kwa ajili ya kugombea uraisi tu, baada ya tukio hilo, Lowasa hakuwa chochote, ni bora hata mbunge akihama maana anapunguza idadi ya majimbo, Lowasa amepunguza nini?

Lowasa ameshajua kuwa ni ngumu yeye kugombea tena uraisi CDM, aendelee kubaki CDM kufanya nini? Aendelee "kupata tabu sana " kwa ajili ya nini? Hata mimi ningekuwa Lowasa ningehama.

Kurudi CCM kwa Lowasa ni ahueni kwa CDM, japo kumchukua kipindi kile lilikuwa wazo zuri maana aliigawa CCM, sasa hivi ni vizuri maana itatoa nafasi kwa CDM kushikamana zaidi ili kumuandaa TL apeperushe bendera, pia, Edo atakuwa amedhihirisha tu usemi kuwa maji na mafuta ni 'imisibo' liquids, kashindwa kukaa CDM kaamua kurudi kwa mafisadi wenzie..

Hii bwana Chahali sio pigo kwa CDM, labda ni pigo kwa Membe, kama kweli Edo na Rostam watakuwa wameamua kwa dhati kushikamana na Magu.
 
Unaumwa cdm bila lowasa ingepata kura c zaid ya million 2
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakayefuata ni Sumaye huu mwaka hautaisha hajarudi CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
 

BIG UP. BANDIKO FIKIRISHI, KWA WENYE KUFIKIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…