Dear alcohol

au ..... The finest, naomba funguo zako mara moja.

Aisee siku hii kitu itatokea......."Oyaa Big naomba funguo one time nataka nikaongee na simu kwenye gari mara moja hapa kuna kelele"
 
Jameni nauliza kuna uchakachuaji wa vibatani vya senksi unaendelea humu ndani?
 
wajameni okay okay,
bigirita dikshenare yako ipo pale lakini tatizo ni kwamba wewe si mwanachama wa tanganyika librare

lakini kwa kifupi nilivyotafsiriwa na vijana waliopo pale ndani wakijisomea ni kwamba hili li-sredi linatuhimiza tunywe pombe kali kwa wingi sana......!tena kila siku
 
orait.:focus:
Nimesoma mahali, mama big yupo chumba cha kulala wenyeji wa daslam, amekwenda na mdalasini na viungo vingine vya pilao, the finest anaangalia kama kuna jiko karibu, labda atappikiwa pilao
 
Unajua asubuhi nimesoma hii thredi nikatoka kapa.....kumbe inazungumzia mapishi ya pilau??:bowl::bowl:
 
orait.:focus:
Nimesoma mahali, mama big yupo chumba cha kulala wenyeji wa daslam, amekwenda na mdalasini na viungo vingine vya pilao, the finest anaangalia kama kuna jiko karibu, labda atappikiwa pilao

Nilikuwa nasikia tu mtu ukienda kuogeshwa unabebwa mgongoni doh!! kumbe mambo yenyewe ndiyo haya
 
unajua asubuhi nimesoma hii thredi nikatoka kapa.....kumbe inazungumzia mapishi ya pilau??:bowl::bowl:

you have been warned stay away from mama big otherwise ban inakuandama nyuma yako
 
Mbona iko vizuri tu kama ilivyo st.roya!anyways,mpumzishe avatar wako bana au amekunywa kokteil ya bakadi na valuu?

Sijui huyo jamaa kwenye avatar akianza kuongea utasema nini? Hapo anaongea kwa vitendo tu
 
orait.:focus:
Nimesoma mahali, mama big yupo chumba cha kulala wenyeji wa daslam, amekwenda na mdalasini na viungo vingine vya pilao, the finest anaangalia kama kuna jiko karibu, labda atappikiwa pilao

Big ballantine inahusika sana aiseee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…