Deal Limekubali 1.6 Bilion sio mchezo

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,048
Reaction score
74,773
Usifanye mchezo ukipewa shilingi Bilioni moja na milion mia sita. (Shs 1,600,000,000/=) Hapa waziri wa Ardhi mama Tibaijuka akisakata dansi na "kaka yake wa kufikia" James Lugemalila kwa raha zao.
Tetesi ni kuwa hii ni baada ya kupokea mgawo. Jee mmeiona furaha ya mama? Hapo ni mpaka chini! Mpaka chini!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1417258762.888373.jpg
    47.1 KB · Views: 651
dah nimecheka sana ila kama katapona safar hii sijui, kajizi kweli kweli haka ka bibi kapitupigia deal watu wa kgm haka kabibi k.... zake
 
ikitokea RUGE amejenga katika eneo la wazi,au kule beach walikovunjiwa baadhi,mama TIBA anaweza kuvunja,au aliejenga rafiki wa RUGE
 
dah nimecheka sana ila kama katapona safar hii sijui, kajizi kweli kweli haka ka bibi kapitupigia deal watu wa kgm haka kabibi k.... zake
Haka kamama kajizi tangu UN ndio maana kalifukuzwa...halafu kanasingizia eti Ban-Ki Moon ka sympathize wakati ukweli ni kuwa anazidi kujiridhisha kuwa hawakukosea kukafukuza haka kabibi.

Hivi kana mume haka kajizi?
 
dah nimecheka sana ila kama katapona safar hii sijui, kajizi kweli kweli haka ka bibi kapitupigia deal watu wa kgm haka kabibi k.... zake

Hayo yaache kwanza, hapa ni kwa raha zao. Aliwahi kusema kule Muleba katika mkutano mmoja wa hadhara bila kujua kuwa anaharibu. Namnukuu: "Najua kabisa kuwa nyinyi akina mama wa Muleba mnashida sana hamna maji........" Basi ilikuwa kasheshe wakina mama wakaja juu " aaah kwenda kule! Nani hana maji labda wewe! Usituleete za kuleta ........."
Kwa kukaa kwake nje ya mazingira ya kwao hakujua kuwa kumwambia mwanamke kule kuwa hana maji ni kashfa! Ha ha ha huyo ndio Profesa.
 
Alipokea 1.6b je kwanini hazikuingia kwenye account ya shule? kama aliziingiza huko bado zipo? kama hazipo zimetumikaje? matumizi ya bil 1.6 lazima yaonekane.
 
Haka kamama kajizi tangu UN ndio maana kalifukuzwa...halafu kanasingizia eti Ban-Ki Moon ka sympathize wakati ukweli ni kuwa anazidi kujiridhisha kuwa hawakukosea kukafukuza haka kabibi.

Hivi kana mume haka kajizi?

....ni mjane wa Balozi Tibaijuka ! Kitaja
 
Last edited by a moderator:
Alipokea 1.6b je kwanini hazikuingia kwenye account ya shule? kama aliziingiza huko bado zipo? kama hazipo zimetumikaje? matumizi ya bil 1.6 lazima yaonekane.

.....hilo jibu lilitoka jana bungeni live alipewa makavu na mbunge mmoja, nafikiri Lugola hivii ! Mama T. alideposit kwenye account ya shule, kisha akazivuta zote ndani ya siku moja. tena bila idhini ya bodi ya shule wala Mwalimu Mkuu !:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…