Mercury deal kubwa sana gram 1 inafika mil.40 haipatikani kirahisi hiyo kitu!!daahh umenikumbusha hatari kubwa sana wakati naitafuta!!!
Hatari yake ni utajiri wa kutisha!Naomba utueleze hatari yake nini mkuu ndo tunalotaka kujua
Migodini!wasiliana na rostom aziz.Wapi inauzika?
Habari za jioni wakuu.
Nimepigiwa simu na mshikaji wangu akanambia mahali ninapo fanya kazi kunamercury huwa inakuwa supplied pale, any way mimi sijui ninatakiwa kufanya uchunguzi ili nijue inapatikana sehemu gani na kwanini wanasupply coz najua mercury ni poison.
Swali langu wakuu hivi huku mtaani siku hizi mercury inatuka kutengenezea nini?
Isije kuwa inatumika kutengenezea sumu zikaua watanzania wenzangu lakini hata kama inatumika kutengenezea vipodozi bado sipo tayari kumsaidia ili awaharibu watanzania. Coz kwa jinsi alivyoniapproach anaonelkana ni deal la siri sasa nataka kujua. Yeye kagoma kuniambia inatumika katika nini. Nisaidieni wakuu coz humu jf najua tunatokea katika mazingira tofauti.
Naomba utueleze hatari yake nini mkuu ndo tunalotaka kujua
Naomba utueleze hatari yake nini mkuu ndo tunalotaka kujua
Mkuu hiyo kitu kuipata kwake ile really kabisa ni kwenye migodi mikubwa ambapo usafishia madini,jeshini utumika kwa milipuko na kwenye mapango huko sasa ni masharti mengi unaweza poteza maisha ila kubwa zaidi ni kuna wafanyabiashara wanatumia kusafishia hela especially USD hiyo ndo hotcake yao hata mil.50 kwa gram wanakupa kuwapa sasa hawajitangazi hao watu